• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Lushoto District Council
Lushoto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

  • mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Muundo
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Utumishi na Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufatiliaji
        • Planning
      • Afya
        • Healthy
      • Fedha na Biashara
        • Finance
      • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
        • Elimu ya sekondari
      • Maji
        • water sector
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Agriculture and Irrigation
      • Huduma za ufugaji
        • Huduma za ufugaji
      • Maliasili Ardhi na Mipango Mji
      • Maendeleo ya Jamii Wanawake Vijana Watoto na Wazee
        • Community development
      • Ujenzi na Zima Moto
        • Works and fire rescure
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
        • Internal Auditor unit
      • Teknolojia ya Habari na mawasiliano
        • Information communication and public Relation
      • Manunuzi na Ugavi
        • Manunuzi na Ugavi
      • Mazingira na Usafi
        • Environment and sanitation
      • Uchaguzi
        • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezajia
    • Vivutio vya Utalii
      • Tourist attraction investiment area
    • Kilimo
      • Agriculture Investment Areas
    • Mazao ya misitu
      • Forest products
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
      • Health services offered
    • Huduma za Elimu
      • Education services offered
    • Huduma za Kilimo
      • Agriculture services offered
    • livestock and fisheries services
      • livestock and fisheries services offered
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Uchumi Uongozi na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati za maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba mbalimbali
    • Ghala la Picha

MKUTANO WA BARAZA LA WAH. MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA LUSHOTO

Imetumwa: September 24th, 2019

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya  Lushoto limefanya mkutano wake  wakawaida tarehe 20/9/2019 , Mkutano huo  umehudhuriwa na Mh. Mkuu wa  wilaya ya Lushoto Mh. January Lugangika wabunge wa Lushoto na Mlalo Mh. shangazi  na Shekilindi. Kabla ya Mkutano huo kuanza Mwanyekiti wa Halmashauri alimkaribisha Mkuu wa wilaya ya Lushoto atoe salaam zake na Mkuu wa wakati anotoa salamu zake za wilaya  aliwasihi wah. Madiwani kuwashauri  wazazi wa watoto waliomaliza darasa la saba kutowaruhusu watoto hao kwenda kufanya kazi za ndani pia akapiga marufuku wanafunzi wote kutoka nje ya wilaya bila ya kibali chake.Mh. Mkuu wa wilaya  katika mkutano huo aliwaagiza maafisa ugani wote kuwahimiza wakulima kuandaa mashamba kwa kuwa msimu wa kilimo unaanza  pia nawao kuwa na mashamba darasa na mbegu za mazao zipo na pembejeo kwa bei elekezei amabazo alikuwa alizitaja kikaoni . Pia aliwahimiza madewani na wataalam kuahikisha makusanyo ya mapato ya serikali yanakusanywa kwa nguvu zote hususani kwenye nyumba za kulala wageni ambapo kunaundanganyifu mkubwa kwa watu wanaenda kulala nyumba hizo.

Katika mkutano huo taarifa mbalimbali ziliwasilishwa  kutoka katika kamati mbalimbali na wenyeviti wa kamati hizo, Kamati zilizowasilisha taarifa zao ni kama ifuatavyo:-

  1. Kamati ya kupambana na kudhibit UKIMWI
  2. Kamati ya uchumimi, ujenzi na mazingira
  3. Kamati ya Fedha , Uongozi na Mipango
  4. Kamati ya maadili ya Wah. Madiwani.

Pia Mkurugenzi wa Halmashauri aliwasilisha taarifa mbili zaidi ikiwemo taarifa ya kuanzishwa kwa wakala wa maji  vijijini(RUWASA) na hoja binafsi ambayo ilileta kutoelewana  miongani mwa madiwani na kumlazimu mwenyekiti wa Halmashauri kuharisha baraza kabla ya kumaliza agenda zote ili kuepusha vurugu.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KUANZIA TAREHE 1 JUNE MPAKA TAREHE 5 JUNI 2018 KATIKA HALMASHAURI YA LUSHOTO June 01, 2018
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA LUSHOTO.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_LUSHOTO DC) December 14, 2020
  • TANGAZO LA KAZI KWA WAFILISI MALI (BROKERS). November 13, 2020
  • Agalia

Habari mpya

  • UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI 2020-2025.

    December 11, 2020
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA KATA YA MNAZI HALMASHAURI YA LUSHOTO

    August 18, 2020
  • KUKABIDHI VIFAA MAALUM KWA SHULE ZENYE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    July 20, 2020
  • TANGAZO LA UWEKAJI WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KUFANYIKA TAREHE 17-20/06/2020

    June 14, 2020
  • Agalia

Video

Mapokezi ya mwenge
Video nyingine

Maunganisho ya haraka

  • organisation structure
  • COUNCIL HISTORY
  • TAMISEMI

Tovuti zenye Mahusiano

  • TOVUTI YA MKOA WA TANGA
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • National website
  • UTUMISHI

Waangaliaji wa nje

world map hits counter

Waangaliaji wa ndani

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    KWEMBAGO

    Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto

    Telephone: +255(027)2977216

    Mobile: +255 755 723 374

    Email: ded@lushotodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa