- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Lushoto Ndugu Ikupa Harrison Mwasyoge anapenda kuwakaribisha watumishi wote wa ajira mpya kwa kada ya Afya na Elimu katika Halmashauri ya Lushoto ambapo amechukua nafasi ya kuweka mawasiliano ya wakuu wa idara mbalimbali zinazohusiana na michakato ya ajira katika Halmashauri hivyo upatapo changamoto au kuhitaji ufafanuzi wasiliana na Maofisa waliopo kwenye tangazo hapa chiniTANGAZO AJIRA MPYA.jpeg
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa