- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika tarehe 25/4/2018 chini ya Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Lucas Shemudolwa na kupokea taarifa mbalimbali kutoka kamati za kudumu za Halmashauri kama vile Fedha ungozi na Mipango,Elimu Afya na Maji.Uchumi Ujenzi na Mazingira na Maadili.Pia baraza lilipokea taarifa mbalimbali kama vile mchakato wa ubinafsishaji wa shamba la mkonge kwa mwekezaji mpya baada mwekeaji wa zamani kushindwa kuliendeleza,na taarifa ya ya mradi mkubwa wa ujenzi wa miundombinu ya maji katika mji wa Lushoto.Waheshimiwa madiwani walichangia taarifa zote kwa ajili ya kuziboresha na kisha kuzipitisha
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa