- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Naibu Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Tulia Ackson Mwansasu afanya ziara ya siku mbili katika wilaya ya Lushoto jimbo la Mlalo na kufanya shughuli za maendeleo kama vile kuweka jiwe la msingi katika wodi ya akina mama na wajawazito , cliniki ya mama baba na watoto katika kituo cha Afya cha mlalo na kutoa vyeti kwa vikundi kumi vya ujasiliamali na vicoba vilivyohitimu mafunzo yao ya ujasiliamali na kuwa nasifa ya kupata mikopo kutoka Halmashauri katika kata ya Rangwi.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa