- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassimu Majaliwa Majaliwa(mb) afanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Lushoto ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kikazi ya siku saba katika Mkoa mzima wa Tanga .Akiwa Halmashauri ya walaya ya Lushoto Mh.Waziri mkuu alitembelea machimbo ya boxite yaliyoko kata ya Magamba katika kijiji cha mabughai kisha na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi katika uwanja wa s/m Mabughai . Katika mkutano huo waziri mkuu alisisitiza utunzaji wa mazingira na kisha akatoa amri ya kuzuia na kusimamisha kabisa uchimbaji wa madini hayo kutokana athari za mazingira zinazoweza kujitokeza na kuwahimiza viogozi wote ngazi ya wilaya na watumishi wa umma kwenda vijiji kutatua kero za wananchi na kuhimizi ukusanyaji wa mapato ikiwezekana kutumia watendaji kati kukusanya mapato ili kufikia angalau asilimia 80%.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa