• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Lushoto District Council
Lushoto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

  • mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Muundo
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Utumishi na Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufatiliaji
        • Planning
      • Afya
        • Healthy
      • Fedha na Biashara
        • Finance
      • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
        • Elimu ya sekondari
      • Maji
        • water sector
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Agriculture and Irrigation
      • Huduma za ufugaji
        • Huduma za ufugaji
      • Maliasili Ardhi na Mipango Mji
      • Maendeleo ya Jamii Wanawake Vijana Watoto na Wazee
        • Community development
      • Ujenzi na Zima Moto
        • Works and fire rescure
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
        • Internal Auditor unit
      • Teknolojia ya Habari na mawasiliano
        • Information communication and public Relation
      • Manunuzi na Ugavi
        • Manunuzi na Ugavi
      • Mazingira na Usafi
        • Environment and sanitation
      • Uchaguzi
        • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezajia
    • Vivutio vya Utalii
      • Tourist attraction investiment area
    • Kilimo
      • Agriculture Investment Areas
    • Mazao ya misitu
      • Forest products
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
      • Health services offered
    • Huduma za Elimu
      • Education services offered
    • Huduma za Kilimo
      • Agriculture services offered
    • livestock and fisheries services
      • livestock and fisheries services offered
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Uchumi Uongozi na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati za maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba mbalimbali
    • Ghala la Picha

MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI KUPITIA HOJA ZA MKAGUZI WA NJE(CAG)

Imetumwa: May 19th, 2020

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto  Mh.Lucas  Shemdolwa  aongoza kikao maalum cha kupitia na kujadili hoja za mkaguzi na mdhibiti wa Hesabu za Serikali(CAG) pamoja na  maagizo ya LAAC kabla ya hoja hizo kupelekwa   kwenye kamati maalum ya bunge anayoshughulika hesabu za serikali za  mitaa (LAAC). Katika kikao hicho jumla ya hoja thelathini na sita(36) ziwasilisha pamoja na maagizo ishirini na sita (26) ya LAAC yaliyotolewa na  wakati wa kujadili taarifa ya  mdhibiti na mkuguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa  mwaka 2014/15.Katika kikao hicho wah. Madiwani walipitia  hoja  moja  baada ya  nyingine  na kupitia  majibu ya manejimenti  kisha  maoni ya  kamati ya ukaguzi na kamati ya fedha kisha  kutoa maoni yao kama  baraza la madiwani . Hoja  ambazo zilionekana zinahitaji ufafanuzi zaidi kikao hicho kiliagiza ziletwe kwenye  kikao cha kamati ya fedha na  mipango ili ziweze kujadiliwa kwa muda mrefu zaidi na kupatiwa ufafanuzi zaidi.Pia katika kikao hicho kirihudhuriwa na katibu tawala wa  mkoa wa Tanga ambaye alitumia muda huo kujitambulisha kwa waheshimiwa madiwani kwakuwa hicho kilikuwa kikao chake cha kwanza kukihudhuria katika Halmashauri ya Lushoto tangu  ateuliwe na Mh. Rais wa Jamhuri wa Tanzania kushika widhifa huo  katika Mkoa wa Tanga.Ras  aliwapongeza sana wabunge wote kwa michango yao mahili iliyoonyesha madiwani kuifahamu vizuri Halmashauri yao kwa  kuisimamia vizuri na kuweza kujenga jengo zuri sana kwa ajili ya watumishi wote wa Halmashauri walioko makao makuu ya Halmashauri.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATA YA MNAZI February 19, 2021
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA LUSHOTO.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_LUSHOTO DC) December 14, 2020
  • MATOKEO YA DARASA SABA YATANGAZWA November 22, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Agalia

Habari mpya

  • UZINDUZI WA BARAZA LA MADIWANI 2020-2025.

    December 11, 2020
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA KATA YA MNAZI HALMASHAURI YA LUSHOTO

    August 18, 2020
  • KUKABIDHI VIFAA MAALUM KWA SHULE ZENYE WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

    July 20, 2020
  • TANGAZO LA UWEKAJI WAZI DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KUFANYIKA TAREHE 17-20/06/2020

    June 14, 2020
  • Agalia

Video

Mapokezi ya mwenge
Video nyingine

Maunganisho ya haraka

  • organisation structure
  • COUNCIL HISTORY
  • TAMISEMI

Tovuti zenye Mahusiano

  • TOVUTI YA MKOA WA TANGA
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • National website
  • UTUMISHI

Waangaliaji wa nje

world map hits counter

Waangaliaji wa ndani

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    KWEMBAGO

    Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto

    Telephone: +255(027)2977216

    Mobile: +255 755 723 374

    Email: ded@lushotodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa