- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto anawatangazia wananchi wote kuwa vikundi vyote vya kijamii vya kuweka na kukopa(VICOBA, VSLA , HISA, LIMCA NK) vinatakiwa kusajiliwa kwa mujibu wa sheria ya huduma ndogo za fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake za mwaka 2019.
Ili kusajili kikundi tafadhari tembelea tovuti http://cmg.bot.go.tz/cmg-portal, na kubofya sehemu iliyoandikwa jisajili.
Kwa maelezo zaidi pakua tangazo hapa chini.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa