- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Sekta
|
Aina ya mradi wa uwekezaji
|
Maelezo ya mradi
|
Mapendekezo ya mfumo wa uwekezaji
|
Eneo lililopo na mahali lililpo
|
Mazingira rafiki yanayoruhusu uwekezaji
|
|
Sehemu ya malazi ya watalii-Mnazi (Tourism facility)
|
Katika eneo hili uwekezaji utalenga utalii wa ndani na nje. Wageni wanaotembelea Hifadhi ya Taifa Mkomazi kupitia Lushoto wanauhitaji mkubwa wa sehemu ya kupumzika na kulala. Kwa sasa hoteli moja tuu ambayo ipo 10km kutoka eneo hili, hivyo kutona na umbali na uchache wa vyumba vya kupumzikia mahitaji ya sehemu ya kupumzikia ni mkubwa kwenye maeneo yanayozunguka MKONAPA
|
Ubia kati ya wananchi na muwekezaji
|
Eneo lillilopendekezwa kwa ajili ya kuanzisha sehemu ya kupumzikia watalii lipo katika Kata ya Mnazi kijiji cha Kwemkwazu ambapo ni 147km Kutoka Lushoto Mjini. Eneo hili lipo 502m juu kutoka usawa wa bahari, 431664 easting, 951659 northing; na lina ukubwa wa 20 hecta, linamilikiwa kiuhalali na Halmashauri ya Kijiji cha Kwemkwazu.
|
Serikali ya kijiji kupitia ridhaa ya wananchi imeridhia uwekezaji kufanyika katika eneo hili
|
|
Sehemu ya malazi ya watalii-Tourists accommodation facility-Malindi
|
Eneo hili lipo pembezoni mwa barabara inayoelekea Mtae ambapo Hotel maarufu ya Mambo View ipo, nusu kilometa kutokea Papaa mozee kwenye kijiji cha Malindi, linaukubwa wa ekari 5 maarufu kama shamba la miwati. Kutokea kwenye eneo hili mandhari nzuri ya Mlalo inaonekana kwa chini na vijumba vya kihistoria vya kijiji cha Malindi vinaonekana kutokea hapa ambapo ni 1785m juu kutokea usawa wa bahari.
|
Ubia kati ya wananchi na muwekezaji.
|
Eneo hili linafikika kwa njia ya barabara ya Lushoto - Mtae ya changarawe iliyopo chini ya TANROADS kupitia Malindi, Kutoka malindi ni umbali wa 1km hadi kwenye eneo hili.
Uhakika wa Soko Eneo hili lipo sehemu yenye hali ya hewa tulivu ya mlimani ambayo watalii wengi wanapenda sana kupunzika kwenye maeneo yenye hali hii ya hewa. |
Serikali ya kijiji kupitia ridhaa ya wananchi imeridhia uwekezaji kufanyika katika eneo hili.
|
Eneo linalopendekezwa aka ajili ya ujenzi wa miundo mbinu ya amalazi ya watalii-Mnazi
Eneo lililopendekezwa kwa ajili ya ujenzi wa Hoteli ya kitalii na muonekano wa eneo la mlalo tokea kwenye eneo
Sekta
|
Aina ya mradi wa uwekezaji
|
Maelezo ya mradi
|
Mapendekezo ya mfumo wa uwekezaji
|
Eneo lililopo na mahali lililpo
|
Mazingira rafiki yanayoruhusu uwekezaji
|
UTALII
|
Ujenzi wa miundombinu ya malazi kwa watalii.
|
Eneo hili linafikika vizuri kwa barabara ya changarawe ya Mbelei – Baga – Mgwashi inayopitika mwaka mzima kitu kinachomuhakikishia muwekezaji uhakika wa kufika kwenye eneo hili bila tatizo. Kwa sasa usasiri maarufu unaotumika kufia katika eneo hili ni wa basi na pikipiki. Uhakika wa usafiri unahakikishia kuwa eneo hili lina fursa ya uwekezaji.
|
Ubia kati ya wananchi na muwekezaji
|
Kijiji cha Baga kimependekeza eneo moja kwa ajili ya uwekezaji. Eneo hili lipo kati ya 435884 Mashariki na 947846 Kaskazini. Eneo hili lipo 20 km kutoka Lushoto Mjini na 22km kutoka Bumbuli mjini, pia lipo 1622 m kutoka usawa wa bahari.
|
Serikali ya kijiji kupitia ridhaa ya wananchi imeridhia uwekezaji kufanyika katika eneo hili.
|
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa