• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Lushoto District Council
Lushoto District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

  • mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Muundo
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Utumishi na Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Huduma za ufugaji
      • Maliasili Ardhi na Mipango Mji
      • Maendeleo ya Jamii Wanawake Vijana Watoto na Wazee
      • Ujenzi na Zima Moto
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Teknolojia ya Habari na mawasiliano
        • Information communication and public Relation
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mazingira na Usafi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezajia
    • Vivutio vya Utalii
      • Tourist attraction investiment area
    • Kilimo
      • Agriculture Investment Areas
    • Mazao ya misitu
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Kiutumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Uchumi Uongozi na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati za maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba mbalimbali
    • Ghala la Picha

MKUTANO WA BARAZA LA WAH.MADIWANI WA TAREHE 19/11/2019

Imetumwa: November 22nd, 2019

Mkutano wa baraza  la wah. Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto umefanyika tarehe 19/11/2019 na kupokea taarifa mbalimbali  kutoka katika kamati za kudumu za  Halmashauri  kwa kipindi cha  robo ya nne(aprili -june) 2018/2019. Katika kikao hicho kamati  zifuatazo zililiwakilisha taarifa zao kama ifatavyo:-

  • Kamati ya  kupambana na kudhibiti Ukimwi
  • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
  • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Kamati ya Fedha ,Uongozi na mipango
  • Kamati ya maadili ya wahe. Madiwani

Katika kikao hicho pia kilihudhuliwa na Kamati ya ulinzi na kamati ya Ulinzi na usalama ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mh, January Lugangika, Viongozi wa  vyama vya siasa vikiongozwa na mwenykiti wa chama tawala  Mh, Rashid Karata na katibu wake Mh. Mahanyu. Pia kikao hiki kilihudhuliwa na  Msaidizi  wa katibu tawala wa mkoa ambaye anashughulika masuala yote ya serikali za mitaa ndg Kazimoto, Wakuu wa Idara na vitengo   kwa ajili ya kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya hoja zilizoibuliwa na madiwani

Katika kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Lucas Shemdolwa aliwakaribisha viongozi wa chama na serikali kutoa salamu zao mabalimbali  akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Lushoto. Katika salamu zake Mh.Mkuu wa Wilaya  kwanza alitoa pole kwa wilaya zilizopata maafa ya mafuriko hasa hasa wilaya ya Handeni na Korogwe ,Mapokezi ya fedha kwa ajili ya kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na  mvua , Hali ya chakula katika  Halmashauri ya Lushoto na bei ilekezi. Pia aliwapogeza wenyeviti wa vijiji na vitogonji waliopita bila kupingwa katika uchaguzi wa serikaliza mitaa unaoendelea  hii inatokana na usimamizi na mafanikiwa ambayo nchi inayoyapata kutoka na uongozi  thabiti wa Rais wa awamu ya tano Mh.Dk John Pombe Magufuli.Pamoja na mafanikio hayo Mkuu wa wilaya ya Lushoto aliwahimiza  watendaji wa vijiji kusoma mapato na matumizi katika vijiji vyao na watendaji ambao hawajafanya hivyo kufanya hivyo kabla ya tarehe 2/12/2019.Pia mkuu huyo wa wilaya alisisitiza semina kwa viongozi wapya ili waweze kujua wajibu wao na mipaka yao ya kazi.

Kuhusu kuhifadhi  hifadhi za mazingira  mkuu huyu wa wilaya  alitoa taarifa  ya uwepo wa miti ya kutosha  kwa ajili ya kupanda maeneo ambayo yako wazi ili kurudishia uota wa asili na kuhimiza kila mtendaji hahakishe anapanda  miti takribani miti 455,000 katika kata yake amabayo tayari ameishaiandaa kwa kushirikiana na wadau wa mazingira wa (friends of Usambara) kazi ni kwenda kuichukua na kuipanda katika maeneo husika.

Kuhusu mikopo kwa wanawake ,vijana  na  watu wenye ulemavu mkuu wa wilaya  aliiangiza Halmashuri kutoa mikopo hiyo kwa kila robo ilikuepuka usumbufu  kwa kipindi cha mwisho wa mwaka

Katika Kikao hicho wenyeviti wa kamati waliwasilisha taarifa zao kisha wajumbe walitoa  michango na maswali yao amabayo yalijibiwa na wenyeviti wa kamati wakisaidiwa na wakuu wa idara husika.Katika  kamati ya kupambana na na kudhibiti ukimwi wajumbe walipewa taarifa ya utekelezaji wa shughuli yakutoa  mafunzo ya kuwaelemisha juu ya jamii kujua afya zao mapema kwa kupima  n, wajumbe  walioji ni watugani walipima na kugundilika wameadhirika.Katika majibu ya swali hilo wajumbe walielezwa na mwenyekiti  wa kamat kwamba elimu inayotolewa ni kuwashawishi watu kupima kwa hiari na majibu ni swali la mtu binafsi na halazimishwi kutangaza.Katika kamati ya Elimu Afya na Maji wajumbe walioji upungufu wa dawa katika hospitali ya wilaya pamoja na watu kuwa na bima ambalo swala hilo mganga mkuu alilitolea ufafanuzi mzuri kuwa dawa zote muhimu (tracer medicine) zipo za kutosha labda zile zamahitaji maalum.Kuhusu mradi wa maji shume kukwama  licha ya miundombinu kukamilika kwa asilimia karibu 80% injinia wa maji alilitolewa  ufafanuzi vizuri tatizo lililokwamisha mradi huo la kodi  limeishatatuliwa na mkandarasi yuko mbio kupeleka vifaa hivyo site kumalizia kazi hiyo . Kikao hicho kilimalizizika  baada ya wajumbe kuridhika na ufafanuzi wa wenyeviti wa kamati na kupitisha taarifa hizo.  

Matangazo ya Kawaida

  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KUANZIA TAREHE 1 JUNE MPAKA TAREHE 5 JUNI 2018 KATIKA HALMASHAURI YA LUSHOTO June 01, 2018
  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI LUSHOTO June 26, 2019
  • TANGAZO JIPYA October 30, 2018
  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI LUSHOTO October 02, 2018
  • Agalia

Habari mpya

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAH.MADIWANI WA TAREHE 19/11/2019

    November 22, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA WAH. MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA LUSHOTO

    September 24, 2019
  • MAFUNZO YA MAADILI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA

    September 20, 2019
  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA LUSHOTO

    July 05, 2019
  • Agalia

Video

MAADHIMISHO YA KILELE YA MBIO ZA MWENGE 2018 KATIKA MKOA WA TANGA
Video nyingine

Maunganisho ya haraka

  • organisation structure
  • COUNCIL HISTORY
  • TAMISEMI

Tovuti zenye Mahusiano

  • TOVUTI YA MKOA WA TANGA
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • National website
  • UTUMISHI

Waangaliaji wa nje

world map hits counter

Waangaliaji wa ndani

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa