- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Dr. Godfrey John Andrew anapenda kuwatangazia waombaji wote waliomba nafasi za watoa huduma za afya katika afua za VVU na UKIMWI kuwa kutakua na zoezi la usaili wa mchujo, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia maelekezo yote katika tangazo hapa chini-
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa