- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto,anapenda kuwatangazia vijana wote waliopita kwenye Usaili wa kazi za muda za ukusanyaji wa taarifa za anwani za makazi kuwa kutakua na mafunzo ya kuwajengea uwezo katika kanda nne za mafunzo(LUSHOTO MJINI,MNAZI,MLOLA na LUKOZI) hivyo Vijana wanatakiwa kufika kwenye vituo vya mafunzo kama walivyopangwa , kwa maelezo zaidi soma tangazo lna ratiba hapa chini:-
Pia mnaelekezwa kutembelea website ya Halmashauri kwa taarifa mbalimbali.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa