- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Lushoto inawajulisha kuwa tarehe 31/10/2018 kutakuwa na ugeni wa Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania ndg. Kasim Majaliwa Majaliwa(MB), Hivyo watumishi wote mnatakiwa kuwepo kwenye ukumbi wa chuo cha Mahakama cha lushoto (IJA) kuanzia saa nne 4.00 asubuhi na ratiba yake imeambatanishwa
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa