- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Kikao cha tano cha kamati ya ushauri ya wilaya ya lushoto kimefanyika tarehe 10/042018 na kufanya tathmini ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa upandaji wa miti kwa jamii inayopakana na hifadhi ya mazingira asilia ya magamba, Mradi wa ufugaji wa kisasa wa nyuki kwa jamii inayopaka na na hifadhi ya Mazingira Asiri ya Magamba,Uimarishaji doria na shughuli na Utalii Ikolojia katika hifadhi ya mazingira asilia ya magamba (MNR) na wajumbe wa kamati hii ni pamaoja na waheshimiwa madiawni wa Halmashauri ya Lushoto pichani hapo juu ni mwanyekiti wa kikako hicho ambaye pia ni diwani wa kata ya Lukozi wakati wa kufunga Kikao hicho
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa