- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Kikao cha tathmini ya maendeleo ya Elimu katika Halmashauri Lushoto kimefanyika katika ukumbi wa CCM tarehe 1/6/2019 ,Kikihudhuriwa na wadau mbalimbali wa elimu ndani ya Halmashuri na kujadili hoja mbalimbali zinazoifanya Halmshauri shule zake kutofanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa.Hoja zilizoonekana ni kikwazo cha maendeleo ya Elimu katika Halmashuri ya Lushoto ni pamoja na Upungufu wa walimu, Wanafunzi kukosa chakula cha Mchana mashuleni,Mimba mashuleni, zana za kufundishia , utoro wa rejareja na muda mrefu,upungufu na uchakavu wa miundombinu na samani
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa