- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mh. Januari Lugangika akipokea mwege wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga tayari kwa kuukimbiza katika wilaya ya Lushoto.Wakati mwenge wa uhuru ukiwa wilayani Lushoto umekimbizwa km 194 na umeweza kufungua , kukagua na kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali yenye ya thamani takribani Tsh.bilioni mbili na nusu ikiwa ni fedha kutoka serikali kuu , Halmashauri , nguvu za wananchi . pamoja na mfuko wa jimbo. Pamoja na kukagua miradi, pia mwenge wa uhuru umekagua shughuli mbalimbali ikiwemo shughuli za upimaji wa maralia,upandaji wa miti kuhifadhi mazingira, kupambana na rushwa, Kukagua shughuli za vijana na walemavu, Tehama , Lishe, uhamasishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi pamoja na kupambana na madawa ya kulevya. Mwenge wa Uhuru oyeeeeeeeeeeee!! Kazi iendeleee
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa