- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mwenge wa uhuru umepokelewa kwa shangwe katika Halmashauri ya Lushoto ukitokea Mkoa wa Kilimanjaro katika kijiji cha Bwiko . Viongozi wote wa Mkoa wakiongozwa na Mh .Mkuu wa Mkoa ndg.Martin Reuben Shigella walishiriki kupokea mwenge wa uhuru kwakuwa Halmashauri ya Lushoto ndiyo ilikuwa ya kwanza kuukimbiza mwenge wa Uhuru katika Mkoa wa Tanga.Katika Halmashauri ya lushoto mwenge umekimbikizwa km 174.5 na kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo sita(6) katika sekta za Afya,Kilimo,Maji,Elimu,Utawala na Mazingira,ambapo miradi hii ina thamani ya Tsh.4,936,278,550.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa