- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkutano mkuu wa wadau wa elimu katika Mkoa wa Tanga uliofanyika kwa siku mbili 10/4-11/4 2018 katika shule ya sekondari ya Shambalai iliyoko Halmashauri ya Lushoto mkoa wa Tanga ukiwa na kauli mbiu ya Elimu bora ndio nguzo ya uchumi wa viwanda na mada mbalimbali zikiwemo utekelezaji wa shughuli mbalimbali kama vile ujenzi wa vyumba vya madarasa na umaliziaji wa maboma ya maabara, ujenzi wa matundu ya vyoo, ufauli wa wanafuzi katika ngazi zote ,nyumba za walimu,mimba na chakula cha mchana mashuleni.Pia mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe mbalimbali wakiwemo viongozi wa kuu katika mkoa pamoja na kamati za ulinzi na usalama za mkoa na wilaya ,wenyeviti wote wa jiji,miji Halmashauri zote za mkoa wa Tanga,Wakurugenzi , wakuu wa shule za serikali na binafsi na wakaguzi wa shule.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa