- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Lushoto limefanya mkutano wake wakawaida tarehe 20/9/2019 , Mkutano huo umehudhuriwa na Mh. Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mh. January Lugangika wabunge wa Lushoto na Mlalo Mh. shangazi na Shekilindi. Kabla ya Mkutano huo kuanza Mwanyekiti wa Halmashauri alimkaribisha Mkuu wa wilaya ya Lushoto atoe salaam zake na Mkuu wa wakati anotoa salamu zake za wilaya aliwasihi wah. Madiwani kuwashauri wazazi wa watoto waliomaliza darasa la saba kutowaruhusu watoto hao kwenda kufanya kazi za ndani pia akapiga marufuku wanafunzi wote kutoka nje ya wilaya bila ya kibali chake.Mh. Mkuu wa wilaya katika mkutano huo aliwaagiza maafisa ugani wote kuwahimiza wakulima kuandaa mashamba kwa kuwa msimu wa kilimo unaanza pia nawao kuwa na mashamba darasa na mbegu za mazao zipo na pembejeo kwa bei elekezei amabazo alikuwa alizitaja kikaoni . Pia aliwahimiza madewani na wataalam kuahikisha makusanyo ya mapato ya serikali yanakusanywa kwa nguvu zote hususani kwenye nyumba za kulala wageni ambapo kunaundanganyifu mkubwa kwa watu wanaenda kulala nyumba hizo.
Katika mkutano huo taarifa mbalimbali ziliwasilishwa kutoka katika kamati mbalimbali na wenyeviti wa kamati hizo, Kamati zilizowasilisha taarifa zao ni kama ifuatavyo:-
Pia Mkurugenzi wa Halmashauri aliwasilisha taarifa mbili zaidi ikiwemo taarifa ya kuanzishwa kwa wakala wa maji vijijini(RUWASA) na hoja binafsi ambayo ilileta kutoelewana miongani mwa madiwani na kumlazimu mwenyekiti wa Halmashauri kuharisha baraza kabla ya kumaliza agenda zote ili kuepusha vurugu.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa