- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Nyerere tournament Handball Cup ambayo ni Mashindano ya mpira wa Mkono yaliyohusishaTeam za Majeshi kutoka vitengo mbalimbali na Team Kutoka Halmashauri mbalimbaliza Tanzania, mashindano ayo yalifunguliwa rasmi na Mkurugenzi Mtendaji waHalmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Bi. Ikupa Harrison Mwasyoge tarehe 08/10/2021Lushoto katika uwanja wa Hazina uliopo Shule ya Msingi Lushoto.
Katikamashindano ayo Team ya jeshi ya Ngome Zanzibar wamekua mabingwa wa mashindanoayo kwa upande wa wanaume na mshindi wa pili wakiwa ni team ya JKT.
Kwaupande wa wanawake team ya JKT wamekua washindi wa kwanza na team ya Ngomewamekua washindi wa pili wa mashindano ayo.
Piakulikua na team za vijana, ambapo team ya wavulana ya Kilindi wamekua washindiwa kwanza kwa upande wa wavulana na team ya Korogwe wasichana wameibukawashindi wa kwanza kwa upande wa wasichana
Baadaya mechi ya fainali kumalizika, Afisa Michezo wa Halmashauri ya wilaya yaLushoto, Kenneth Mapongo alimkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Lushoto,Mh. Karist Lazaro kuhitimisha rasmi mashindano ayo kwa kugawa zawadi mbalimbalikwa washindi wa Mashindano ayo na Kukabidhi Makombe kwa Mabingwa wa Mashindanoayo. Mashindano ayo ambayo yamemalizika leo siku ya tarehe 14/10/2021 ikiwa nisiku ya Kumbukumbu ya miaka 22 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius KambarageNyerere. Ikiwa ndio dhumuni la Mashindano ayo la kuazimisha miaka 22 ya kifocha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa