- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Lushoto na Mlalo, anawatangazia wananchi wote kuwa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi itaweka wazi Daftari la Awali la wapiga kura kwa siku NNE kuanzia Tarehe
17-20/06/2020 kwenye vituo vyote vilivyo tumika wakati wa uboreshaji Daftari la kudumu la wapiga kura.
Uwekaji wazi huu utafanyika kwa kuzingatia tahadhari zote za afya kuhusu kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona.
ZOEZI HILI LITAHUSU :-
UTARATIBU WA UHAKIKI:-
Mpiga kura anaweza kuhakiki taarifa zake kwa njia zifuatazo:-
MAMBO YA KUZINGATIA:-
**ZOEZI HILI NI LA SIKU NNE TUU,ZINGATIA MUDA PIA KUMBUKA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA,KWA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA UWAPO KITUONI KWA KUFUATA MAELEKEZO UTAKAYO PEWA KITUONI ILI KUJIEPUSHA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA**
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa