- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassimu Majaliwa Majaliwa (mb) afungua rasmi jengo la Utawala la makao makuu ya Halmashauri ya Lushoto wakati wa ziara yake ya siku mbili katia wilaya ya Lushoto kuanzia tarehe 31/10 mpaka tarehe 1/1/2018,Pamoja na ufunguzi huo waziri mkuu alisisitiza kulitunza jengo hilo kwa kuwa limejengwa kwa ubora unaotakiwa na liwe chachu ya kuwatumikia wananchi walioko vijjini kuliko kukaa maofisi badala yake wataalam wanapashwa kuwafata wananchi mahali waliko.Pia katika ziara hiyo waziri Mkuu alikagua Ujenzi wa soko la mbogamboga na matunda linalojengwa katika kata ya malindi jimbo la mlalo na kuridhika na ujenzi wake na kusisitiza mkandalarasi kummalizia kiasi cha fedha kilichobaki ili aweze kumaliza shughuli zilizo baki na jengo lianze kutumika mara moja.
Waziri Mkuu pia aliwahutubia wananchi wa kata ya malindi na lukozi na kuwapa salaam zao kutoka kwa Mweshimiwa Rais wa Jamhuri wa Tanzania na kuwa sitizia wananchi wakata hizo mbili umuhimu wa kuwapeleka watoto shule na kujiunga na mfuko wa afya ya jimii (CHF) pia nakutumia mazingira mazuri iliyoyaweka serikali kupata huduma ya umeme kuhakisha nyumba zao zote hata kama ni yatembele kuhakisha inapata umeme
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa