- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Nyerere tournament Handball Cup ni Mashindano ya mpira wa Mkono ambayo yanahusisha Team za Majeshi kutoka vitengo mbalimbali na Team Kutoka Halmashauri mbalimbali za Tanzania, mashindano ayo yanaanza kufanyika leo tarehe 08/10/2021 Lushoto katika uwanja wa Hazina uliopo Shule ya Msingi Lushoto.
Mashindano ayo yamefunguliwa rasmi na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Bi. Ikupa Harrison Mwasyoge akiwa na Afisa Uchaguzi wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto, Emanuel D. Vuri ambaye ni Mlezi wa Team ya Halmashauri ya wilaya ya Lushoto na Afisa Michezo wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto, Kenneth Mapongo
Masindano ayo yanaanza leo tarehe 08/10/2021 na yatafikia Mwisho siku ya tarehe 14/10/2021 ambayo ni siku ya Kumbukumbu ya miaka 22 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Lengo la Mashindano ayo ni Kuazimisha kumbukumbu ya miaka 22 ya Kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Pia Kufanya Utalii wa Ndani katika Vivutio mbalimbali vilivvopo katika Wilaya ya Lushoto. Baadhi ya vivutio vilivyopo Lushoto ni Hifadhi ya Magamba, Milima ya Usambara, Hifadhi ya Mazingira Asili, Jiwe la Mungu. Jiwe la Mungu ni kivutio chenye alama inayofanana na Nyayo za binadamu iliyopo kwenye mwamba ambao watu wengi wanaamini, asili yake ni nyayo za mwanadamu wa kale, watu ufika katika jiwe ilo na kufanya mambo mbalimbali ya kidini, Imani na kikabila.
Ratiba nzima ambayo itaongoza mashindano ayo ni kama inavyoonekana hapa chini.
RATIBA YA MECHI
MICHUANO |
JINSIA
|
08/10/2021 |
|
NYUKI VS JKT |
ME
|
09/10/2021 |
|
NGOME VS KOROGWE |
KE
|
NGOME VS VICTORY |
ME
|
JKT VS WATUMISHI |
KE
|
10/10/2021 |
|
VICTORY VS WATUMISHI |
KE
|
NYUKI VS WATUMISHI |
ME
|
KOROGWE VS JKT |
KE
|
11/10/2021 |
|
WATUMISHI VS KOROGWE |
KE
|
VICTORY VS USAMBARA |
ME
|
WATUMISHI VS NGOME |
KE
|
12/10/2021 |
|
WATUMISHI VS JKT |
ME
|
VICTORY VS JKT |
KE
|
USAMBARA VS NGOME |
ME
|
KOROGWE VS VICTORY |
KE
|
13/10/2021 |
|
A1 VS b2 |
ME
|
NGOME VS VICTORY |
KE
|
B1 VS A2 |
ME
|
14/10/2021 |
|
L(A1B2) VS L(B1A2) |
ME
|
JKT VS NGOME |
KE
|
W(A1B2) VS W(B1A2) |
ME
|
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa