- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Tamisemi Mh. Mwita Mwikwabe Waitara (mb) afanya ziara ya Kikazi siku moja katika Halmasshuri ya wilaya ya Lushoto kukagua utekelezaji wa miradi ya
EP4R ambapo Halmashauri ya wilya ya lushoto ilipokea kiasi cha sh.180,000,000 katika kipindi cha mwezi Julai 2017 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule ya Msingi Lang'atandoiye.Aidha ,katika kipindi cha mwaka 2014/15 hadi 2016/17 Halmashauri imepokea fedha za EP4R motisha jumla ya shilingi 552,790,887.32 baada ya kupimwa na kufikia utekelezaji wa vipaumbele vilivyoridhiwa (DLR'S) baina ya serikali na wafadhili (Sweden, Uingeraza na Benki ya Dunia)
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa