- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu sera , bunge ,kazi vijanaa ajira na watu wenye ulemavu Mh. Jenester Mhagama(Mb) afanya ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 28 mpaka 29 Julai 2018 wilayani Lushoto kitika Jimbo la mlalo kwa Kutembelea shule ya sekondari ya Lwandai iliyoko Mlalo,shughuli za kikundi cha mwamboa na ushirika wa wafugaji na kuona bidhaa zinazozalishwa na vikundi vya vicoba kata ya mwangoi jimbo la mlalo,Pia alitoa vyeti vya mafunzo kwa viongozi wa vikundi vya vicoba kwa niaba ya wanachama wa vikundi hivyo.Mh.waziri pia alitoa rai kwa Halmashauri kutambua vikundi vya vicoba kama tasisi rasmi za kifedha kwa sera na mwongozo wa vikundii hivyo ilisha zinduliwa tangia 2017
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa