- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Lushoto anawatangazia wananchi wote wa Lushoto ziara ya Kikazi ya Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa Majaliwa (mb) itakayofanyika tarehe 5/3/2020 siku ya Alhamis kuanzia saa 2.00 asubuhi , Katika ziara hiyo atatembelea machimbo ya madini ya boxite yaliyoko magamba kisha kufanya mkutano wa hadhara katika shule ya msingi Mabughai wananchi wote mnakaribishwa
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa