Imetumwa: January 8th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Lushoto, Mhe. Kalisti Lazaro amekagua zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza siku ya kufungua shule Januari 8, 2024 ili kuona mw...
Imetumwa: November 28th, 2023
UFAULU wa jumla wa watahiniwa wa darasa la saba kwa mwaka 2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto (Lushoto DC) umepanda kwa asilimia 3.66 na kufikia asilimia 58.97, kutoka asilimia 55.31 ya ufaul...
Imetumwa: November 20th, 2023
KAMATI za Kudumu za Madiwani za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto (Lushoto DC), Jumamosi, tarehe 18/11/2023 ziliwasilisha taarifa za Kamati hizo na kupitishwa wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani la...