Imetumwa: January 9th, 2024
NAIBU Waziri wa Maji, Eng. Maryprisca Mahundi (Mb), ameahidi kumaliza tatizo la maji kwenye Tarafa ya Mtae, iliyopo katika Jimbo la Mlalo, Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, wilayani Lushoto, ikiwa ni ...
Imetumwa: January 8th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Lushoto, Mhe. Kalisti Lazaro amekagua zoezi la uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza siku ya kufungua shule Januari 8, 2024 ili kuona mw...
Imetumwa: November 28th, 2023
UFAULU wa jumla wa watahiniwa wa darasa la saba kwa mwaka 2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto (Lushoto DC) umepanda kwa asilimia 3.66 na kufikia asilimia 58.97, kutoka asilimia 55.31 ya ufaul...