- mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezajia
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha habari
Mh. Mkuu wa wilaya ya Lushoto anawatangazia wananchi wote wa Halmashuri ya lushoto kwamba Mwenge wa Uhuru Utaingia Halmashauri ya Lushoto kesho tarehe 14/6/2023 siku ya Jumatano saa 12 asubui utapokelewa katika kijiji cha Kazara kata ya ubiri na utatembelea miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi sh bilioni moja, na baadae Mkesha utafanyika katika viwanja vya mwangoi kuanzia saa 12.00 jioni wananchi wote mnakaribishwa .
Kwa ratiba kamili ya mwenge bonyeza hapa RATIBA YA MBIO ZA MWENGE - LUSHOTO.pdf
MAGUZONI, 18 BARABARA YA HALMASHAURI, 21782 Lushoto,Tanga
Postal Address: P.O.BOX 32 Lushoto
Telephone: +255(027)2977216
Mobile: +255 755 723 374
Email: ded@lushotodc.go.tz
Hatimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto.Haki zote zimeifadhiwa